Kuna mambo mengi yanasemekana yamepangwa ili kura ziibiwe! Naomba kama kuna dalili huko mtaarifu.
Katika gazeti la msemakweli jana tulipewa namba ambayo tunatakiwa kutumia kutoa taarifa kama kuna kitu chochote kinachoonekana kwenda kinyume na taratibu za uchaguzi