Yamenikuta mwenzenu,, natukanwa mie.. na mwanaume mwenzangu kisa kani-win mchumba wangu,,
ishu ni kwamba huyu jamaa amemtongoza na wamekubaliana huko, anaacha kukaa kimya anaanza matusi hivi hii inakuja kweli wanajamii?
naomba kama kuna wanaume wanatabia hizo naomba waziache maramoja, maana Reactions zake zinaweza kuwa na effects mbaya kuliko hata mtu anavyo fikiria
naomba mnishauri maana Baada ya kuona kimya kinazidi bila kupata majib ya matusi hayo,, Mwanamke anataka tuongee huku akiomba msamaha eti mii sijui situation iliyo mkuta yeye..
mnanishaulije hapo wanajamii

Kwa kuwa umeshaamua kumpiga chini, wewe endelea kukaa kimya tu. Mambo ya kuanza kujibizana maneno si ustaarabu wala hayaonyeshi kwamba wewe ni unajua kuongea kuliko huyo anayejidai kakuwin. Ni hofu kama huyo dada anawiniwa kirahisi na huyo mpenzi mpya ajiandae kunyanganywa na atakayemzidi kete.nASHUKURU SANA KWA USHAURI WENU MZURI,, KWASABABU MIMI NILISHA AMUA KUPIGA CHINI,, SASA VITUKO VILIVYO TOKEA SASA YULE MWANAUME AMEANZA KUDOUBT KUWA NITALIPA KISASI,,
WANANIDANYANYA KUWA WAO NI MABINAMU, NA SI WAPENZI, HUKU HUYO MWANAMKE AKISISITIZA KUTAKA KUONANA NA MMIMI ILI ANISIMULIE SITUATION ILIVYOKUWA.. HAWAJUI MIMI NIMESHAFANYA UCHUNGUZI NA KUPATA bRIEF YA UCHAF WAO,,,
THESE PEOPLE ARE SOO STUBON,, BORA KUWA MSEJA TU
...Kila atapo cheat tarajia kuombwa naye msamaha huku ukitukanwa na hao 'wanaokusaidia'.
Ndivyo walivyo w'wake wa aina hiyo.
Siku hizi mademu hata sisumbuki nao maana hata kwenye simu unatongoza unapata na umjui akujui sembuse live mmwage achape lapa!vuta kingine na wew kamringishie natafuta chenye usafiri napita nacho mitaa yake naakikisha anakona na miguu umening'iniza katika dashbord!!.....kama ajanywa sumu!!:behindsofa:
nASHUKURU SANA KWA USHAURI WENU MZURI,, KWASABABU MIMI NILISHA AMUA KUPIGA CHINI,, SASA VITUKO VILIVYO TOKEA SASA YULE MWANAUME AMEANZA KUDOUBT KUWA NITALIPA KISASI,,
WANANIDANYANYA KUWA WAO NI MABINAMU, NA SI WAPENZI, HUKU HUYO MWANAMKE AKISISITIZA KUTAKA KUONANA NA MMIMI ILI ANISIMULIE SITUATION ILIVYOKUWA.. HAWAJUI MIMI NIMESHAFANYA UCHUNGUZI NA KUPATA bRIEF YA UCHAF WAO,,,
THESE PEOPLE ARE SOO STUBON,, BORA KUWA MSEJA TU
Du lugha kali sana mamii, unajua watu tunatofautiana sana kiulewa na hasa wale tunaokutana hapa JF. Kuna watu kila aina humu. all in all ujumbe wako ni mzuri ila lugha uliyotumia inaweza kufanya usieleweke vzuri na mhusika.huyu mwanaume nae lofa tu, unamcal mwanaume mwenzio na kumtukana badala apambane na mhucka wake kwanza...ningekuwa mie ndio huyo mwanamke ningeshammwaga kabisa, wanaume wasiojiamini na ni mzigo wa dhambi.....mtao thread wewe mpuuzie huyo mwanaume mwenzio hana ufahamu kabisa, kuhsu binti huyo nae atakusumbua tu huko mbeleni.