Duuu hili lalamiko la watu kukatwa mishahara yao bila taarifa lishadumu sasa je sio bodi ya mkopoHabari wana jf.
Leo mishahara yetu isiyokuwa na ongezeko lolote tangu mwezi July imetoka. Cha ajabu Mwezi huu tumekatwa zaidi ya elfu 57 kila mmoja. Jamani tunakwenda wapiii. Hii imetokea tena kwa kada ile ile kadamizwa, yaani waalimu kama ilivyo ada kada hii ndo shamba la kujifunzia kila aina ya manyanyaso ya kila aina. Sijui kada hii tumelogwa au vipi. Sasa naomba mje mnidhamini maana moto nilionao naamini ntafungwa siku ya jumatatu coz leo si Siku ya kazi.. Natamani niende saiz nikalale halmashauri mpaka jumatatu.. Nafundisha hisabati niko peke yangu shule nzima kwa mshahara mdogo halafu bado naibiwa licha ya kuwa nalipa deni langu la bodi ya mikopo..
Nawasisha..
Napoaje me wakati sina hela nadaiwa kodi ya nyumba, mke wangu mjamzito ..naomba niishie hapo nahisi kizunguzungu me nahisi ntafeint leo...Pole sn,mimi ndo usiseme maana nimeshachoka kudanganya wanaonidai hadi wamenishtukia na sasa narudi home usiku tena kwa vinjia vya uchochoro hadi nafika ingawa nako ni shida maana maza hausi ananidai tangu mwezi jana
Pole mkuu.Habari wana jf.
Leo mishahara yetu isiyokuwa na ongezeko lolote tangu mwezi July imetoka. Cha ajabu Mwezi huu tumekatwa zaidi ya elfu 57 kila mmoja. Jamani tunakwenda wapiii. Hii imetokea tena kwa kada ile ile kadamizwa, yaani waalimu kama ilivyo ada kada hii ndo shamba la kujifunzia kila aina ya manyanyaso ya kila aina. Sijui kada hii tumelogwa au vipi. Sasa naomba mje mnidhamini maana moto nilionao naamini ntafungwa siku ya jumatatu coz leo si Siku ya kazi.. Natamani niende saiz nikalale halmashauri mpaka jumatatu.. Nafundisha hisabati niko peke yangu shule nzima kwa mshahara mdogo halafu bado naibiwa licha ya kuwa nalipa deni langu la bodi ya mikopo..
Nawasisha..
[quote uid=394462 name="dustless" post=18168457]Habari wana jf.<br />Leo mishahara yetu isiyokuwa na ongezeko lolote tangu mwezi July imetoka. Cha ajabu Mwezi huu tumekatwa zaidi ya elfu 57 kila mmoja. Jamani tunakwenda wapiii. Hii imetokea tena kwa kada ile ile kadamizwa, yaani waalimu kama ilivyo ada kada hii ndo shamba la kujifunzia kila aina ya manyanyaso ya kila aina. Sijui kada hii tumelogwa au vipi. Sasa naomba mje mnidhamini maana moto nilionao naamini ntafungwa siku ya jumatatu coz leo si Siku ya kazi.. Natamani niende saiz nikalale halmashauri mpaka jumatatu.. Nafundisha hisabati niko peke yangu shule nzima kwa mshahara mdogo halafu bado naibiwa licha ya kuwa nalipa deni langu la bodi ya mikopo..<br />Nawasisha..[/QUOTE]Pole sn,mimi ndo usiseme maana nimeshachoka kudanganya wanaonidai hadi wamenishtukia na sasa narudi home usiku tena kwa vinjia vya uchochoro hadi nafika ingawa nako ni shida maana maza hausi ananidai tangu mwezi jana
Habari wana jf.
Leo mishahara yetu isiyokuwa na ongezeko lolote tangu mwezi July imetoka. Cha ajabu Mwezi huu tumekatwa zaidi ya elfu 57 kila mmoja. Jamani tunakwenda wapiii. Hii imetokea tena kwa kada ile ile kadamizwa, yaani waalimu kama ilivyo ada kada hii ndo shamba la kujifunzia kila aina ya manyanyaso ya kila aina. Sijui kada hii tumelogwa au vipi. Sasa naomba mje mnidhamini maana moto nilionao naamini ntafungwa siku ya jumatatu coz leo si Siku ya kazi.. Natamani niende saiz nikalale halmashauri mpaka jumatatu.. Nafundisha hisabati niko peke yangu shule nzima kwa mshahara mdogo halafu bado naibiwa licha ya kuwa nalipa deni langu la bodi ya mikopo..
Nawasisha..
Nakulaumu kwa kuwa na wema wa mshumaa,yaani unafanya kazi kwa bidii kwa kutegemea kulipwa siku ukifa na kuzikwa.Napoaje me wakati sina hela nadaiwa kodi ya nyumba, mke wangu mjamzito ..naomba niishie hapo nahisi kizunguzungu me nahisi ntafeint leo...
Kama ipo ficha jinaMkuu unataka salary slip ama?
Kweli wema usizidi uwezo, kwa tatzo hili nmejifunza kitu...Nakulaumu kwa kuwa na wema wa mshumaa,yaani unafanya kazi kwa bidii kwa kutegemea kulipwa siku ukifa na kuzikwa.
Tumia muda mwingi kwa kufanya mambo yako,hakuna mwenye nia njema nawewe hapa Tanzania.
Shuleni na darasani nenda kama ushahidi lakini wape matangopori.
Achana na hao wanafunzi utakufa masikini watoto wako watakulaumu sana.Kweli wema usizidi uwezo, kwa tatzo hili nmejifunza kitu...
Salary slip ya mwezi huu hawezi kuwa nayo hadi mwezi ujao.Kama ipo ficha jina
Soma namba wewe acha kelele , hapo kila mtu ataisoma labda tuu waliopumzika kama Dimoso matesoHabari wana jf.
Leo mishahara yetu isiyokuwa na ongezeko lolote tangu mwezi July imetoka. Cha ajabu Mwezi huu tumekatwa zaidi ya elfu 57 kila mmoja. Jamani tunakwenda wapiii. Hii imetokea tena kwa kada ile ile kadamizwa, yaani waalimu kama ilivyo ada kada hii ndo shamba la kujifunzia kila aina ya manyanyaso ya kila aina. Sijui kada hii tumelogwa au vipi. Sasa naomba mje mnidhamini maana moto nilionao naamini ntafungwa siku ya jumatatu coz leo si Siku ya kazi.. Natamani niende saiz nikalale halmashauri mpaka jumatatu.. Nafundisha hisabati niko peke yangu shule nzima kwa mshahara mdogo halafu bado naibiwa licha ya kuwa nalipa deni langu la bodi ya mikopo..
Nawasisha..
Mwezi huu hawezi kuwa na ushahidi hadi mwezi ujao.Evidence ipo wapi tuamini