Robin Van Mysterio
Senior Member
- Jul 24, 2014
- 102
- 15
teh teh teh teho
Kuna vitu vimenivuruga hapa kichwani sasa nataka ninywe viroba (Konyagi) halafu nivute na bangi kama puli mbili kisha nishushie kwa kutafuna mirungi.
Sasa nilikua nauliza je kuna madhara nikichanganya vitu hivyo kwa pamoja... nisaidieni jamana maana nataka kulewa na kulanduka nipoteze mawazo
Karibu kesho kanisani utapumziahwa mizigo yako yote ndg.mi mgeni humu jf, nina kama miezi 3, naanza kupata picha kwa mbali, humu tunajifunza toka kwa watu mbali mbali, wakiwemo na wanao stahili kuwa mirembe!!