jamani eeh...!

naweza saidia lakini sio mtu anayejiita misteryman!

ha!! Asa paloma hilo si jina tu kama zilivyo nick nyingine?? Hata hivyo ungesaidia ungeweza kujua majina yangu halisi......
 
Naona hii hapa

[TABLE="width: 636"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 54, bgcolor: transparent"]Yohana[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]19[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]17[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Akatoka, hali akijichukulia msalaba wake, mpaka mahali paitwapo Fuvu la Kichwa, au kwa Kiebrania, Golgotha. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
yaliyoandikwa hapo kwako kwa kweli sikuweza kuyasoma ila naomba ukiweza unitumie kwenye pm.

kwani ukiiangalia unaona nini?

Can you read maandishi yaliyopo kwenye hiyo avatar?
 
why jamani,
hivyo ni vitu vidogo sana kwenye maisha Preta jizoeze kutoa ili uweze kupokea pia.

Mimi kumnunulia au kumlipia pombe (hata soda samtaymzi) mwanaume asiyenihusu jamani huwa nahisi roho inaacha mwili......je dr huu ni ugonjwa gani.......? msaada tafadhali......

Preta - Yaeda Chini
 
Last edited by a moderator:


Mh kwenye pm wengine nao watjifunzia wapi?


 

Attachments

  • Lucas.jpg
    23.7 KB · Views: 44

wakikuletea mahali unakuwa mkali sijui tukusaidieje..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…