mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 1,080
- 398
Tukikupa huto tubia , ukishakua keroro utatupiga na kamzinga ka'ndomu!
Chezeiya nyapi weye!
Mamndenyi karibu mumsaidie kijana huyu anapotea
- I can guess your age
- I can guess you are a student
- I can guess your problem
- Mdogo wangu, badilika hiyo unayoelekea sio njia nzuri
(kiukweli: nasikitika hata kuchangia sredi hii)
how are you my akanana Passion Lady?njoo nikununulie commoni!!
mi ndio kinywaji changu lol!!
m fyn swr, miss u much!!how are you my akanana Passion Lady?
ha ha ha njoo Sinza unywe tani yako
njoo nikununulie commoni!!
mi ndio kinywaji changu lol!!
mimi naangali kwanza hiyo avatar yako ======cross=========
Mimi kumnunulia au kumlipia pombe (hata soda samtaymzi) mwanaume asiyenihusu jamani huwa nahisi roho inaacha mwili......je dr huu ni ugonjwa gani.......? msaada tafadhali......
Preta - Yaeda Chini
Mimi kumnunulia au kumlipia pombe (hata soda samtaymzi) mwanaume asiyenihusu jamani huwa nahisi roho inaacha mwili......je dr huu ni ugonjwa gani.......? msaada tafadhali......
Preta - Yaeda Chini