VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Leo kulikuwa na Kongamano la kusindikiza Maadhimisho ya Miaka 51 ya Uhuru wa Tanganyika.Maadhimisho hayo yaliyoratibiwa na Jumuiya ya Wanazuono wa UDSM-UDASA,yalifanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Ukumbi wa Nkrumah. Wachokoza hoja na Wachangiaji walikuwa wengi.Lakini nilikuwa 'bias'.Niliwafuatilia kwa ukaribu wa kutoka chama tawala-CCM hasa Deo Filikunjombe na January Makamba.
Makamba alijinadi kwa hoja mbili: kwanza, urais wa 2015 uende kwa aliyezaliwa baada ya 1961.Na pili, elimu bure inawezekana. January,kabla ya kuwa Mbunge wa Bumbuli, alikuwa Mwandishi wa Hotuba wa Rais Kikwete kwa muhula wote wa 2005-2010 akisaidiana na Prof. Mukandala wa UDSM. Ni yeye aliyekuwa akipamba hotuba za Kikwete wakati wa kampeni za 2010 kukejeli hoja za CHADEMA kuwa elimu bure inawezekana na Kikwete,aliyezaliwa miaka 11 kabla ya uhuru,ni chaguo sahihi kwa watanzania. Leo akisema hivi,tumueleweje? Si muongo,mzandiki na mnafiki huyu?
Deo naye kasema Tanzania si mali ya CCM....ni mali ya watanzania wote. Mbona yeye ni mwimbwji mzuri wa kidumu chama cha mapinduzi na wa kuwaaminisha watanzania kuwa bila CCM hakuna Tanzania na 'vice versa is true'? Alitaka aeleweke vipi Deo? Si muongo huyu kwakuwa bado yupo ndani ya CCM na mtawanyaji mzuri wa ujumbe wa kifisadi kuwa Tanzania ni mali ya CCM?
Niliondoka mapema kwakuwa waliniudhi sana.Wana bahati kulikuwa na ulinzi.Pia,nililinda heshima yangu.Humchukia sana mtu mnafiki hasa anapokuwa karibu yangu!

Hongereni UDSM kwa kuwa mna muda wa kuongea na kina Filikunjombe na Makamba wakilazimisha kuwahukumu watu wakose civil and political right just because of age...why? Napata shida kujua aina ya viongozi wanaotoka UDSM kwa miaka ya karibuni. Wakati UDSM wakipiga soga za urais,Mwenyekiti wa jukwaa la katiba,Deus Kibamba alikuwa SAUT-Mwanza kuongea na vijana kuhusu mchakato wa kupata katiba mpya ulipofikia na haja ya vijana kufuatilia,kuelewa,kutathmini na kupima mazingira ya kuunda katiba itakayowaongoza miaka mingi ijayo.Sitashangaa kusikia wamepigiwa makofi na kushangiliwa hao kina Fillikunjombe na January kwa sababu wasomi wa siku hizi siyo wale aliowatarajia Mwl.Nyerere na Karume. Changamoto inayolikumba taifa ni ajira,nishati,usalama,ufisadi,miundombinu ya usafiri wa anga na majini n.k Ninaposikia watu wanaojiita viongozi wakiwa wanaongea na wana-UDSM eti wanajadili kuzaliwa kabla au baada ya 1961 kama kigezo cha urais,vinahusiana vipi na changamoto?

Leo kulikuwa na Kongamano la kusindikiza Maadhimisho ya Miaka 51 ya Uhuru wa Tanganyika.Maadhimisho hayo yaliyoratibiwa na Jumuiya ya Wanazuoni wa UDSM-UDASA,yalifanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Ukumbi wa Nkrumah. Wachokoza hoja na Wachangiaji walikuwa wengi.Lakini nilikuwa 'bias'.Niliwafuatilia kwa ukaribu wa kutoka chama tawala-CCM hasa Deo Filikunjombe na January Makamba.
Makamba alijinadi kwa hoja mbili: kwanza, urais wa 2015 uende kwa aliyezaliwa baada ya 1961.Na pili, elimu bure inawezekana. January,kabla ya kuwa Mbunge wa Bumbuli, alikuwa Mwandishi wa Hotuba wa Rais Kikwete kwa muhula wote wa 2005-2010 akisaidiana na Prof. Mukandala wa UDSM. Ni yeye aliyekuwa akipamba hotuba za Kikwete wakati wa kampeni za 2010 kukejeli hoja za CHADEMA kuwa elimu bure inawezekana na Kikwete,aliyezaliwa miaka 11 kabla ya uhuru,ni chaguo sahihi kwa watanzania. Leo akisema hivi,tumueleweje? Si muongo,mzandiki na mnafiki huyu?
Deo naye kasema Tanzania si mali ya CCM....ni mali ya watanzania wote. Mbona yeye ni mwimbaji mzuri wa kidumu chama cha mapinduzi na wa kuwaaminisha watanzania kuwa bila CCM hakuna Tanzania na 'vice versa is true'? Alitaka aeleweke vipi Deo? Si muongo huyu kwakuwa bado yupo ndani ya CCM na mtawanyaji mzuri wa ujumbe wa kifisadi kuwa Tanzania ni mali ya CCM?
Niliondoka mapema kwakuwa waliniudhi sana.Wana bahati kulikuwa na ulinzi.Pia,nililinda heshima yangu.Humchukia sana mtu mnafiki hasa anapokuwa karibu yangu!
Ukishakula nyama ya mtu ni vigumu kuacha - JKNUlikuwa umevaa miwani ya chama gani wakati ukiwatazama hawa vijana wawili? Halafu naona kama umewashambulia watu na si hoja zao. Mwenye dhambi akitubu na kusamehewa Mungu hazikumbuki dhambi zake. Labda wazungumzaji hawa wawili wametubu dhambi zao na wapo katika mchakato wa kuziacha kwa kuhakikisha wanavua gamba. Hivyo naomba tuwape mda kama watazuacha dhambi zao. Kama watatubu na kushidwa kuziacha amin amin nakwambia damu yao na iwe juu ya vichwa vyao.
mara nyingi huwa najiuliza kama una ubongo kichwani au vapour!!!si uweke huo uongo wa chadema!walisema elimi bure inawezekana mkatoa mapovu leo mnakubali- sasa bro hawa ni waongo na wanafiki kuliko huko chadema? Are you serious au unafurahisha genge tu, sasa untaka tuanze kuweka uongo na unafiki wa huko chadema hapa? Please!!
Es!
- Sasa Bro hawa ni waongo na wanafiki kuliko huko Chadema? Are you serious au unafurahisha genge tu, sasa untaka tuanze kuweka uongo na unafiki wa huko Chadema hapa? Please!!
Es!