Nauliza tu ,kutokana na habari za kuaminka kabisa ,CCM haitakiwi tena Zanzibar na ukiangalia huku Tanganyika nako imepoteza umaarufu na wananchi wanaihama na kuhamia vyama vingine.
Sasa ikiwa haitakiwi Zanzibar haitakiwi Tanganyika ,jamani CCM iende wapi ?
Bagamoyo pekee yake.

Kwani TANU na ASP vilienda wapi?
Nauliza tu ,kutokana na habari za kuaminka kabisa ,CCM haitakiwi tena Zanzibar na ukiangalia huku Tanganyika nako imepoteza umaarufu na wananchi wanaihama na kuhamia vyama vingine.
Sasa ikiwa haitakiwi Zanzibar haitakiwi Tanganyika ,jamani CCM iende wapi ?
Kabiri gani mbona huko CDM mnawapokea kwa magunia ? Au ndio kaburi la CCM ?
Wakijiunga na chadema wote kabisa mpaka wale wenye sifa mbaya, basi ni dhahiri kabisa kwamba chadema itaanguka mwereka wa mende.Je CCM na viongozi wao wakiamua kujiunga na CHADEMA ,bila ya shaka yeyote ile CDM itazidi kuimarika.
Bila kusahau zile operation jaza uwanja huwa tunapelekwa na mifusoNani kakwambia CCM haikubaliki wakati tunapata kanga na kofia na wali na elfu kumi za bure. Chama gani kinaweza kunipa hivyo vitu.