N NEWSINKP Member Joined Sep 26, 2016 Posts 77 Reaction score 95 Sep 27, 2016 #1 Nimeapply tangu juni adi leo au wameshaita watu nini?
N Njaro JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 356 Reaction score 788 Sep 27, 2016 #2 Usisumbuke kuomba kazi katika taasisi zifuatazo... 1. World Vission 2. Jhpiego 3. CCBRT 4. Elizabeth glazer 5. ICAP Ni wahuni na wapu.mbv wa hali ya juu. Usipoteze muda wako kuomba kazi kwenye mashirika hayo Mkuu
Usisumbuke kuomba kazi katika taasisi zifuatazo... 1. World Vission 2. Jhpiego 3. CCBRT 4. Elizabeth glazer 5. ICAP Ni wahuni na wapu.mbv wa hali ya juu. Usipoteze muda wako kuomba kazi kwenye mashirika hayo Mkuu
N NEWSINKP Member Joined Sep 26, 2016 Posts 77 Reaction score 95 Sep 27, 2016 Thread starter #3 Njaro said: Usisumbuke kuomba kazi katika taasisi zifuatazo... 1. World Vission 2. Jhpiego 3. CCBRT 4. Elizabeth glazer 5. ICAP Ni wahuni na wapu.mbv wa hali ya juu. Usipoteze muda wako kuomba kazi kwenye mashirika hayo Mkuu Click to expand... Kwa nini boss?
Njaro said: Usisumbuke kuomba kazi katika taasisi zifuatazo... 1. World Vission 2. Jhpiego 3. CCBRT 4. Elizabeth glazer 5. ICAP Ni wahuni na wapu.mbv wa hali ya juu. Usipoteze muda wako kuomba kazi kwenye mashirika hayo Mkuu Click to expand... Kwa nini boss?
ldd JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 790 Reaction score 128 Sep 28, 2016 #4 Ngoja ntakutumia namba za Kamara ni mkurugenzi pale umuulize ilo shwali.
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,073 Reaction score 16,633 Sep 28, 2016 #5 Ucjsumbue na world vision mkuu.
M Mangi flani hivi JF-Expert Member Joined Jan 2, 2016 Posts 2,026 Reaction score 3,113 Sep 28, 2016 #6 World vision"........
N NEWSINKP Member Joined Sep 26, 2016 Posts 77 Reaction score 95 Sep 28, 2016 Thread starter #7 ldd said: Ngoja ntakutumia namba za Kamara ni mkurugenzi pale umuulize ilo shwali. Click to expand... Nitumie asee nimuulize maana nina vigezo vyote!
ldd said: Ngoja ntakutumia namba za Kamara ni mkurugenzi pale umuulize ilo shwali. Click to expand... Nitumie asee nimuulize maana nina vigezo vyote!
R Rweza79 JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 207 Reaction score 48 Sep 28, 2016 #8 NEWSINKP said: Nitumie asee nimuulize maana nina vigezo vyote! Click to expand... Etiih vigezo, nani anaangalia vigezo vyako? We acha hiyo kitu kaka!!
NEWSINKP said: Nitumie asee nimuulize maana nina vigezo vyote! Click to expand... Etiih vigezo, nani anaangalia vigezo vyako? We acha hiyo kitu kaka!!
Kim Jong Jr JF-Expert Member Joined Mar 15, 2014 Posts 12,075 Reaction score 22,428 Sep 28, 2016 #9 Njaro said: Usisumbuke kuomba kazi katika taasisi zifuatazo... 1. World Vission 2. Jhpiego 3. CCBRT 4. Elizabeth glazer 5. ICAP Ni wahuni na wapu.mbv wa hali ya juu. Usipoteze muda wako kuomba kazi kwenye mashirika hayo Mkuu Click to expand... Kuna Taasis nyingine inaitwa catholic relief umeisahau mkuu...
Njaro said: Usisumbuke kuomba kazi katika taasisi zifuatazo... 1. World Vission 2. Jhpiego 3. CCBRT 4. Elizabeth glazer 5. ICAP Ni wahuni na wapu.mbv wa hali ya juu. Usipoteze muda wako kuomba kazi kwenye mashirika hayo Mkuu Click to expand... Kuna Taasis nyingine inaitwa catholic relief umeisahau mkuu...
K koh koh Member Joined Jan 11, 2016 Posts 60 Reaction score 40 Sep 28, 2016 #10 Njaro said: Usisumbuke kuomba kazi katika taasisi zifuatazo... 1. World Vission 2. Jhpiego 3. CCBRT 4. Elizabeth glazer 5. ICAP Ni wahuni na wapu.mbv wa hali ya juu. Usipoteze muda wako kuomba kazi kwenye mashirika hayo Mkuu Click to expand... asante sana mkuu,,maana nlishaumiza kichwa sana
Njaro said: Usisumbuke kuomba kazi katika taasisi zifuatazo... 1. World Vission 2. Jhpiego 3. CCBRT 4. Elizabeth glazer 5. ICAP Ni wahuni na wapu.mbv wa hali ya juu. Usipoteze muda wako kuomba kazi kwenye mashirika hayo Mkuu Click to expand... asante sana mkuu,,maana nlishaumiza kichwa sana
N Njaro JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 356 Reaction score 788 Sep 28, 2016 #11 Daud1990 said: Kuna Taasis nyingine inaitwa catholic relief umeisahau mkuu... Click to expand... Yes uko sahihi Mkuu. Ni Catholic Relief Services...
Daud1990 said: Kuna Taasis nyingine inaitwa catholic relief umeisahau mkuu... Click to expand... Yes uko sahihi Mkuu. Ni Catholic Relief Services...