Imefika kipndi tukubali hichi kizaZi chetu hakita onja ladha ya maisha boraa kwa kila mtu au watu weng kama nchi zlizoendelea Bali ni wakat wa kutengeneza misingi ya maisha kwa vizaz vijavyo mi Naona ivo maendleo ya haraka ni vigum kwa Sasa