Asee!! Pole
Nilishawahi kukutwa na huo mkasa
Zamani kidogo kama 4years ago! Nilikua na jamaa zangu tumekaa pale javaz slipway! Tunakunywa na kucheka wenyew nilikaa upande ambao nilikua kila nikiinua sura nakutana na mzee meza ya pemben tunaangaliana,,nikajua kawaida kumbe zee limenipenda maskin ya shetani lake mwee,, kuna mda nilienda washroom akaja tukapishana mlangoni!!kumpa shikamo likaitikia na kuniambia embu ngoja mwanangu!akatoa walet katoa na kuhesabu laki moja na sabini,,akaniambia nakuzawadia hii ukinipiga pampu ata 20 nikaonane na mama ako !!
I was shocked ,,,pombe ikakataa nikamjibu tu siwez!!daaaah kwel nikaamini duniani kuna mambo!!