jama kwa mwenye information zozote juu ya post za jkt na jw naomba anijuze plz coz weng wenu mlisema mwezi wa tisa ndo kitu kitakua hwewan kiukweli tunasubiri kwa hamu kubwa hii nafasi coz ndo mkombozi wetu aliyebakia nauliza ili nsije kuta wenzangu washaondoka nami nkabaki najilaum plz kama una uny updates aniinfom😕