Jaman nimepika half cake leo

wanasema kwenye half cake lazima uweke baking soda ndio inayofanya yapasuke sasa kama hupendi itabidi upike maandazi tu
Hata baking powder hupasua mi niliwek baking powder tu lakin yalipasukana yakawa vipande vipande tu
 
wow! yummy yummy,
uko vizuri sana hapo kwa chai ya tangawizi uwiii
Yaani humu ndani mnafaranga wameyala yote hamnakusubiria chai wala nini.

Nimejitahidi nimepata maelekezo kwa msaada WA Google Chrome.

Chapati ngumu bado nazipangia muda nazo. Zitanikoma mwaka huu na vileja na mahanjumati mengine in shaa Allah.
 
Kujifunza zaidi ungeandika vipimo ulivyotumia.. ili ionekane kama unakosea hapo.
 
Yaani humu ndani mnafaranga wameyala yote hamnakusubiria chai wala nini.

Nimejitahidi nimepata maelekezo kwa msaada WA Google Chrome.

Chapati ngumu bado nazipangia muda nazo. Zitanikoma mwaka huu na vileja na mahanjumati mengine in shaa Allah.

wow! hongera sana hakika google + youtube ni msaada wa wengi, hiyo video nimeipost huyo dada anajiita Aroma kwakweli kanisaidia sana kupika swahili foods, salute kwake.

Vileja vitamuuuuuuuu.
 
Weka picha tuone ulikosea wapi ili tujue tuendelezee wapi
Half cake nimepik unga ulikuw mgumu tu ila zilivyoanza tu kuvimba jikoni zimepasukana ovyo ovyo hamn ilotoka nzima naomba msada tafadhali anaejua kupika half cake nimekosea wap au baking powder niliweka nying mana nilimiminia tu mkonon kwa kukadilia na kutia kweny unga
 
Hizi hapa
IMG_20190422_131723.jpeg
 
Unatengenezaje bwana bechula
Kiwango na na idadi hutegemea mtu mwemyewe.
Mahitaji:

Nilifanyanya Unga kilo 3.5.
Tuwi lá nazi.
Há mira yachenga vijiko 5.
Baking powder vijiko 3.
Hiliki iliyochambuliwa nakusagwa niliweka kijiko kimoja.
Mafuta ya kula yaliyopashwa moto nusu kikombe.
Maziwa ya unga niliweka nusu kikombe.
Sukari nilikisia.
Mayai manne.
Chumvi kijiko kimoja.

Kwanza niliweka Unga ndani ya besia nikaweka mafuta ya kula, nikauchanganya kid go badae nikaweka hamira, baking powder nikauchanganya badae nikaweka yalibakia na mwisho nikaweka tui.

Nikaponda kama dakika 30 hivi kwa vile nimpiga vyuma nikaona wepesi tu kuponda na ulipondeka vizuri tu nikauwacha kama dakika 10 hivi baada ya kuuponda zen nikaukata nakuweka kwemye masufuria mpka ulipoumuka nikaanza kuchoma.

Hahaaaaa yalikuwa matamu.

Kila mmoja hutegemea aongeze nini na apunguze nini.
 
Vinaitwaje nikaongeze maarifa YouTube
 
Back
Top Bottom