Jaman naomba ushauri

Jaman naomba ushauri

Tonney Jully

Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
11
Reaction score
0
Jaman mi ni kajana mwenye umri wa miaka19 nipo mombasa nimetokewa kupwendwa na mama mwenye umri 38 nifanyanyeje na wazazi wng wakijua watanfunga segerea wasamaria
 
Last edited by a moderator:
Princes hapana cmpendi[/QUOTE]

problem_solved_by_stabilitees-d3g3w0u.jpg

Case-Closed-Stamp_645x400.png
 
Jaman mi ni kajana mwenye umri wa miaka19 nipo mombasa nimetokewa kupwendwa na mama mwenye umri 38 nifanyanyeje na wazazi wng wakijua watanfunga segerea wasamaria

Upo Mombasa.......ufungwe Segerea........sijaelewa.......
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom