Jamal April (Professor)

mshakamshaka

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2019
Posts
373
Reaction score
676
Lile tukio la mzee wa story book kuganda hewani pasipo miguu kugusa chini mnalitafakari vipi Wana JamiiForums?

 
mbona kawaida hiyo...Hapo ndomaana ana huo mti na Manguo mapana...Huo mti unaendelea na umeunganisha kiti ambacho amekalia sema hicho kiti na jinsi kinaungana na hiyo fimbo kimefichwa na hayo manguo nguo.
 
kuna mtu anaitwa mshana humu, akifika hapa nitarudi kuchangia.
 
Inahitaji sana mazoez
nitawaletea behind ze scene nikipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…