Jamaan mwenye taarifa kuhusu TRA

Jamaan mwenye taarifa kuhusu TRA

kama ingekuwa hivyo, kungekuwa na umuhimu gani wa serikali kutangaza nafasi mbali mbali katika kitengo cha mapato.Acha kukatisha watu tamaa weye.
 
Kuweni na moyo ilikuwa inasubiriwa bajeti ipite kwanza so anytime wataanza kuita
 
Back
Top Bottom