kuna rafiki angu amechaguliwa ardhi lakini majina yao hayakuachiwa kama ya wengine ilidibi aanze kuzunguka nacte na chuoni kumbe majina ya diploma holders yalileta mvutana when comes to college allocation bse yalichelewa kuwa submitted as mjuavo tunachelewa kumaliza possibly hata majina yetu hayakuwa processed kwenye loan board