Jamaa akamatwa na polisi kisha wamuamuru asafishe vyoo vyao

PSYCHOLOGY

Senior Member
Feb 10, 2011
177
14
Habari JF!.
Jamaa mmoja wamemkata polisi kwa tuhuma za kawaida..si za kihaini.
Akafikishwa kituoni kwa maelezo na upelelezi.

Polisi kama mnavyojua ni wachafu makambini kwao hata vyoo vyao ni uchafu utafikir hawana akili hata moja.
Wakaja kumchukua jamaa ili aende kusafisha vyoo/maeneo yao polisi...

inaweza kua kwa osc au kwa polisi wa zamu siku hiyo au vinginevyo.
Sasa jamaa akagoma kufanya hivyo. Polisi wakaanza kumpa kichapo. Jamaa anaumwa anapata taabu.

Je, hivyo alivyofanyiwa ni sawa?
 
Hapo sio sawa,na kama ni kweli lazima haki itendeke,...........
 
hali hii nmewahi kuiona mara nyingi.
Sijui kama wanaweza kulalamika wakasikilizwa....
Jamaa anaweza alalamike wapi?
 
Back
Top Bottom