Jamaa nilimkopesha hela azalishe tugawe faida, leo eti kapata hasara hela imeungua kweli?

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,034
Wakuu

Ushauri wenu ni muhimu maana huu sasa ni utani usiovumilika maana huyu mwamba ni rafiki yangu alikuja akanieleza nimwazime hela maana kahitimu mafunzo ya forex hivo yuko vizuri.

Nikasema sawa nikampa kiasiakaniahidi tutagawa faida kila ikitokea

Wiki ya tatu leo anakuja bila hela eti iliungua nimwelewe vipi huyujamaa kwa waelewa ni kweli huko forex kuna moto unaochoma pesa au maana kama kuna moto hata computer yake ilitakiwa iwe imeungua kabisa,

Nisaidieni huyu mwamba nimfanyeje na wakati mwanzo nilimweleza siamini hela hiyo ya forex yeye akalazimisha kua kahitimu mafunzo
 
FB_IMG_15857330524939013.jpg
 
haahaaaaa...muamini ni kweli hela kapoteza huko (wenyewe wanaita kuunguza account)

Forex haina kuhitimu,
Forex ni kama betting japo traders huwa wanapinga .Hata wazoefu huwa wanapigwa

hahaaa pole sana lakin
Wakuu
Ushauri wenu ni muhimu maana huu sasa ni utani usiovumilika maana huyu mwamba ni rafiki yangu alikuja akanieleza nimwazime hela maana kahitimu mafunzo ya forex hivo yuko vizuri.
Nikasema sawa nikampa kiasiakaniahidi tutagawa faida kila ikitokea
Wiki ya tatu leo anakuja bila hela eti iliungua nimwelewe vipi huyujamaa kwa waelewa ni kweli huko forex kuna moto unaochoma pesa au maana kama kuna moto hata computer yake ilitakiwa iwe imeungua kabisa,
Nisaidieni huyu mwamba nimfanyeje na wakati mwanzo nilimweleza siamini hela hiyo ya forex yeye akalazimisha kua kahitimu mafunzo

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom