Na warabu ndo wazee wenyewe eti, mana sio wajinga wakuwachie ule cousin yake na yuko mbele yake.kwa wa arab ni suna
KUna nyingine toka Zimbabwe nimesoma jana... Mama kajazwa mimba na mwanaye wa kumzaa. walianza mapenzi baada ya mume kufariki na kwa kuwa mama hakutaka kuolewa na ndugu wa marehemu mumewe kama tamaduni zao zinavyotaka, akaamua kumgawia mwanawe na sasa ni mjamzito na wana mpango wa kufunga ndoa
Hapo anagekuwa mwarabu, watu wangeshika Wireless Microphone Speaker :biggrin:KUna nyingine toka Zimbabwe nimesoma jana... Mama kajazwa mimba na mwanaye wa kumzaa. walianza mapenzi baada ya mume kufariki na kwa kuwa mama hakutaka kuolewa na ndugu wa marehemu mumewe kama tamaduni zao zinavyotaka, akaamua kumgawia mwanawe na sasa ni mjamzito na wana mpango wa kufunga ndoa
Mbona hii hata kwa wakerewe ni kawaida tu? Binamu ni mke halali kabisa - undugu usipotee.
Hao wamekuwa wanyama tena sio bina-adamu.Kuna kisa kingine cha kweli kabisa kutoka koo za maeneo hayo uliyoyataja, jamaa alioa mke wake wa kwanza baada ya kuona kuwa hawajajaaliwa mtoto na huyo mkewe basi jamaa ikabidi atafute mke wa pili kwa minajili ya kupata mtoto. Kwa kushirikiana na mkewe pamoja na ukoo wake jamaa akamuoa mdogo wa mkewe, baba mmoja mama mmoja na ndiye aliyezaa naye. Lakini hawa wamama/mtu na dada/wake wenza walikuwa wakiishi pamoja na huyo mume wao/shemeji yao.
Hakuna problem kabisa, as long hamkutoka tumbo moja au hamjachangia baba mmoja.
Mimi sioni kama hawa jamaa ni ndugu
Aisay naoa kabisa....Sioni kosa hapo.kwa hiyo na wewe unaweza kuoana na mtoto wa uncle wako.