Kibaka mmoja alifukuzwa na akakimbilia makaburini alipofika akakaa juu ya kabiri, akavua shati na akaanza kujipepea.
Raiya; Vipi hujamuona mizi kupita hapa?
Kibaka: Hapana mimi katika huu mtaa ni mgeni nimezikwa juzi ila ndani kuna joto sana ndio nimekuja pumzika huku nje.
Raiya alitoka nduki ya ajabu na Kibaka akasevu