DaaahHivi mkuu huwa unalala saa ngapi? Maana mda wote nakukuta online halafu kitu kizuri zaidi kila post wewe ni wa kwanza kuchangia mawazo
Ndio naelewa mkuu usiwaze, ikifika muda nimechoka nalala mkuu...Post baadhi ndio nakuwepo..kuna majukwaa mengine huwa sionekani kabisa mbonaMkuu mbona umeshangaa sana? sikuwa na maana mbaya
kuwa verified user kunampa wehu mwache,JF ndio kilevi chake,wengine wapo wanapuyanga kufanya umalaya hukoHivi mkuu huwa unalala saa ngapi? Maana mda wote nakukuta online halafu kitu kizuri zaidi kila post wewe ni wa kwanza kuchangia mawazo
Kwa hiyo inamaanisha mimi ni mwehu?? Sawa mkuu kwa matusi ya rejarejakuwa verified user kunampa wehu mwache,JF ndio kilevi chake,wengine wapo wanapuyanga kufanya umalaya huko
Hivi mkuu huwa unalala saa ngapi? Maana mda wote nakukuta online halafu kitu kizuri zaidi kila post wewe ni wa kwanza kuchangia mawazo
Chief Naona hii nafasi ya kuwa wa kwanza kucomment sasa unaishikilia rekodi.Mpongeze sana
Alishawahi jutengenezewa thread yake kwa tabia yake ya kuwa wa kwanza Ku comment huyo jamaaChief Naona hii nafasi ya kuwa wa kwanza kucomment sasa unaishikilia rekodi.
Yaani huyu jamaa na mshangaa sanaaa hana Kazi huyuuuHivi mkuu huwa unalala saa ngapi? Maana mda wote nakukuta online halafu kitu kizuri zaidi kila post wewe ni wa kwanza kuchangia mawazo
Kumbe. Kwahiyo jf yeye ni 24hoursAlishawahi jutengenezewa thread yake kwa tabia yake ya kuwa wa kwanza Ku comment huyo jamaa
Form six leaverHivi mkuu huwa unalala saa ngapi? Maana mda wote nakukuta online halafu kitu kizuri zaidi kila post wewe ni wa kwanza kuchangia mawazo
Ni bora hata usingekoment ebu ona sasa wanavyokusakanya.Kwa hiyo inamaanisha mimi ni mwehu?? Sawa mkuu kwa matusi ya rejareja
Sawa lakini sina mzozo na mtu, mimi nacomment zangu ilimradi sijavunja sheria za JF na kumkwaza mtu yeyoteNi bora hata usingekoment ebu ona sasa wanavyokusakanya.