Jalala katikati ya barabara ya mtaa

musangano

Senior Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
138
Reaction score
78
Habari za saa hizi?

Sisi wakazi wa Kihonda-Morogoro tunaomba mamlaka husika iondoe Jalala au Dampo lililowekwa na Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro katika eneo la Kihonda Kaskazini mtaa wa Azimio, miti mirefu. Jitihada zilifanyika kwa kuwasilisha malalamiko katika serikali za mitaa japo ziligonga ukuta.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…