Jaji Warioba umesema vema

Jaji Warioba umesema vema

butaza

Member
Joined
May 11, 2015
Posts
18
Reaction score
2
Siku moja iliopita jaji Warioba aliwambia watangaza nia kuwa acheni kujisemea kuwa nyie ni waadilifu, waachieni wananchi wawasemee kwani wao wanawajua vizuri kuliko mnavyojijua.

Kweli mzee umesema haki tupu
.
 
Mkuu umeharibu jina la watu, sio Waryoba ni Warioba
Rekebisha hapo, naelewa mambo ya mother toungue yatakuwa yameingilia kati hapo
 
Kwa muda wote wengi wao watangaza nia wa CCM wamekuwa ndani ya mfumo uliokumbatia wizi,ubadhirifu na ufisadi, wao wakiwa wanufaika na wengine washiriki wakuu wa madhambi haya,ni wetu waliokosa aibu na uoga tu wanaoweza kujitangaza mbele ya waungwana kuwa wao ni safi
 
Back
Top Bottom