Jaji Mkuu ajiandaa kutumbua majipu

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12650954_1033457246718733_4090739139986949391_n.jpg
 
Mmh yeye mwenyewe jipu.

Tena jipu hasa! Amekuwa mkuu wa mhimili wa mahakama tangu enzi za JK leo baada ya kuona mwenzake anavyoendesha mhimili nwake naye anajishaua! Alikuwa wapi muda wote huo? Jipu kweli kweli.
 
Kama kweli nina uhakika 80% mahakimu wataondoka na 60% ya majaji nao wataondoka! Ni eneo chafu kupindukia!
 
Back
Top Bottom