Everything is Rigged brother, hakuna kitu Chochote chenye uhalali baada ya 29 October!!..lazima waTanganyika wa nje na wenye access ya internet kwa sasa tuje na mpango kazi wakuwafkia ndugu zetu kote Tanzania , kuwaambia wasikae mbali na magari ya JWTZ yaliyoko barabarani, amani kwa sasa inapatikana barabarani kando ya JWTZ walioko barabarani!!!.. majumbani ni killing zone