Mkuu hivi uko serious kabisa unauliza au unatania? anyway: Tofauti ni hivi: Jaji ni mtu anayesikiliza kesi na kuitolea uamuzi/hukumu baina ya mshitaki na anayeshitakiwa katika ngazi ya mahakama kuu pamoja na mahakama ya rufaa. Hakimu naye husikiliza kesi na kutolea maamuzi/hukumu katika ngazi ya mahakama ya mwanzo, mahakama ya wilaya na mahakama ya hakimu mkazi. Wakili-huyu ni mtu anayemwakilisha mshitaki/mshitakiwa, kuna sifa za kuwa wakili hadi uwe nazo ndo uweze kumwakilisha mshita
asante sana kwa ufafanuzi wako mzuri