Hata kama ana ushawishi, waafrika sijui uwa ni kutokuwa na elimu sijui shida ni nini wale watu ambao wananyonywa ndio uwa wanaongoza kuhudhuria na kuwa miskule wanasiasa. Yani mtu yuko tayari atoe maisha yake afe kwa kumpigania mwanasiasa ambae hata hana shida kama za ukoo wake.Zuma bado ana ushawishi mkubwa sana mpka sasa S.Africa kuliko hata Cyril Ramaphosa.Msimamo wake huu alioutoa kupitia foundation yake you umepokelewa na raia kama vile ndio tamko la serikali ya S.Africa.
wapenda haki na amani wanasifiana hongera kwaoInasikitisha. Zuma alifukuzwa urais kwa sababu alikuwa mwizi na mwongo akapuuza kiapo chake kama rais.
Sasa anamsifu mwenzake Putin.
Si ajabu.
Lakini bado ananguvu sanaaUkifutilia kwa kina mkuu utagundua Jacob Zuma alichafulia kisiasa ili kuondoa credibility yake ktk jamii.
Read btn the lines kama haya mambo si saizi yako kacheze na watoto wenzio kimama mama na siyo kila hoja lazima uhoji na akati unajua kabisa kwamba you have the so called mantid brainUkraine alimdhuru kitu gani Urusi?
Unasahau kwamba wakati huu wa vita ndio Urusi inapelelezwa zaidi kuliko kabla. Reconnaissance Plane ya NATO iko kwenye Anga karibu na Ukraine likizoom Movement zote za majeshi ya Urusi ndani ya Ukraine na ndani ya Urusi kwenyewe. Taarifa hizo wana-Share na majeshi ya Ukraine,ndio maana majeshi ya ardhini ya Russia ndani ya Ukraine yanapigwa Ambush mara kwa mara. Baada ya Amush,Wanajeshi wanaopata Chance hutimua mbio na Kutelekeza Vifaru.Kuipeleleza na kupata taarifa za nchi kubwa na makini kama Urusi tayari ni madhara kwake. wewe unafikiri Urusi iko sawa na kenya au malawi ambao nchi za magharibi wana taarifa nyingi kuzihusu kuliko wanavyojijua wenyewe.
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Labda wamemkumbuka kwenye mambo ya rushwa.Kabisa.. raia wa South Africa sasa wameanza kumkumbuka Zuma.
Labda ungesema Zuma alitumia siasa chafu kumwondoa Thabo Mbeki madarakani tuwengeweza kukuelewa. Afrika Kusini tokea uhuru haijawa na Rais wa hovyo kama Zuma.Ukifutilia kwa kina mkuu utagundua Jacob Zuma alichafulia kisiasa ili kuondoa credibility yake ktk jamii.
Warusi kuna namna walijaribu kucheza na GPS points ila wanajeshi wa Ukraine wakose target ila haikuwasaidia sana.Unasahau kwamba wakati huu wa vita ndio Urusi inapelelezwa zaidi kuliko kabla. Reconnaissance Plane ya NATO iko kwenye Anga karibu na Ukraine likizoom Movement zote za majeshi ya Urusi ndani ya Ukraine na ndani ya Urusi kwenyewe. Taarifa hizo wana-Share na majeshi ya Ukraine,ndio maana majeshi ya ardhini ya Russia ndani ya Ukraine yanapigwa Ambush mara kwa mara. Baada ya Amush,Wanajeshi wanaopata Chance hutimua mbio na Kutelekeza Vifaru.
Kuna video zinasambaa Wakulima wengi wa Ukraine wakijichukulia Vifaru vilivyotelekezwa na wanajeshi wa Urusi na kukimbia,Vifaru vingi vimeishiwa mafuta na hivyo wakulima hao wanavikokota kwa Trekta.
Unasahau kwamba wakati huu wa vita ndio Urusi inapelelezwa zaidi kuliko kabla. Reconnaissance Plane ya NATO iko kwenye Anga karibu na Ukraine likizoom Movement zote za majeshi ya Urusi ndani ya Ukraine na ndani ya Urusi kwenyewe. Taarifa hizo wana-Share na majeshi ya Ukraine,ndio maana majeshi ya ardhini ya Russia ndani ya Ukraine yanapigwa Ambush mara kwa mara. Baada ya Amush,Wanajeshi wanaopata Chance hutimua mbio na Kutelekeza Vifaru.
Kuna video zinasambaa Wakulima wengi wa Ukraine wakijichukulia Vifaru vilivyotelekezwa na wanajeshi wa Urusi na kukimbia,Vifaru vingi vimeishiwa mafuta na hivyo wakulima hao wanavikokota kwa Trekta.
Usisahau Zuma ndiye aliyemtengenezea zengwe mtangulizi wake rais aliyestafishwa na Zuma THABO MBEKIUkifutilia kwa kina mkuu utagundua Jacob Zuma alichafulia kisiasa ili kuondoa credibility yake ktk jamii.
Acha uongo, President Zuma ni main suspect wa state capture!!!na pia tunachonga mno ya Ukraine wakati nchi yake ipo kwenye economic free fall na xenophobic yenye sura ya kishetani inanukia nchini mwake na hiyo foundation yake haijatoa tamko lolote.Zuma bado ana ushawishi mkubwa sana mpka sasa S.Africa kuliko hata Cyril Ramaphosa.Msimamo wake huu alioutoa kupitia foundation yake you umepokelewa na raia kama vile ndio tamko la serikali ya S.Africa.
Zuma bado ana ushawishi mkubwa sana mpka sasa S.Africa kuliko hata Cyril Ramaphosa.Msimamo wake huu alioutoa kupitia foundation yake you umepokelewa na raia kama vile ndio tamko la serikali ya S.Africa.