Ni katika kile kinacho onekana kupinga kujihusisha kwa umoja wa NATO na nchi za magharibi katika mgogoro unaondelea nchini Ukraine.View attachment 2142937View attachment 2142938View attachment 2142939
Ukraine alimdhuru kitu gani Urusi?Anayewauza katika vita watu wa Ukraine ni rais wao muigizaji kwa kukubali kutumika kama kibaraka wa marekani dhidi ya Urusi. Kutumika na adui ili kumdhuru jirani ambaye pia ni ndugu yako ni usaliti usiokubalika. Hili libaki kuwa fundisho kwa vizazi na vizazi kwa Ukraine na nchi nyingine duniani.
Ukraine alimdhuru kitu gani Urusi?
Ilitumika kama uwanja au mwenyeji wa kumpeleleza (ambako pia ni kumdhuru) kisha kumdhuru Urusi.
Upelelezi tu ulimdhuru vipi Russia?
Too lowKuipeleleza na kupata taarifa za nchi kubwa na makini kama Urusi tayari ni madhara kwake. wewe unafikiri Urusi iko sawa na kenya au malawi ambao nchi za magharibi wana taarifa nyingi kuzihusu kuliko wanavyojijua wenyewe.
😆 😆 😆
Too low
Kujali tu kuwa Russia wamechemka hawakuwa na sababu nzito za msingi kuanzisha vita kubwa namna ile
Inasikitisha. Zuma alifukuzwa urais kwa sababu alikuwa mwizi na mwongo akapuuza kiapo chake kama rais.
Sasa anamsifu mwenzake Putin.
Si ajabu.
Anayewauza katika vita watu wa Ukraine ni rais wao muigizaji kwa kukubali kutumika kama kibaraka wa marekani dhidi ya Urusi. Kutumika na adui ili kumdhuru jirani ambaye pia ni ndugu yako ni usaliti usiokubalika. Hili libaki kuwa fundisho kwa vizazi na vizazi kwa Ukraine na nchi nyingine duniani.
Zuma msela tu, afrika hawa wanaojiita wapigania haki za watu sijui wanamapinduzi uwa wanawatumia watu kujineemesha.Ni katika kile kinacho onekana kupinga kujihusisha kwa umoja wa NATO na nchi za magharibi katika mgogoro unaondelea nchini Ukraine.View attachment 2142937View attachment 2142938View attachment 2142939
Hakuna mwizi tu na scandal yake na wale wahindi unataka kusema ni uongoUkifutilia kwa kina mkuu utagundua Jacob Zuma alichafulia kisiasa ili kuondoa credibility yake ktk jamii.
Msimamo wake huu alioutoa kupitia foundation yake you umepokelewa na raia kama vile ndio tamko la serikali ya S.Africa.Hakuna mwizi tu na scandal yake na wale wahindi unataka kusema ni uongo
Друзья составили этот список: независимые новости на русском языке, которые доступны на территории россии. Если вы в России, проверьте, сообщите если что-то не работает!zuma anajitambua