GE2025 Jackline Milazi ajitosa ubunge jimbo la Bushosa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mjumbe Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Jackline Milazi amechukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa kuwania ubunge Jimbo la Buchosa, kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semendu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…