Huyu tapeli nae kwa kupenda sifa ,amkumbuke na mama yake huko Ukonga anaishi kwa kubangaizaView attachment 758539 Aliyewahi kuwa bwana wake Auntie Ezekiel Pedej'ee Jack Pemba ambaye kwasasa anaishi nchini Uganda akifahamika kwamba ni Raia kutoka Kongo, wiki hii ka trend kwenye vyombo vya habari vya nchini humo baada ya video yake akiwa anakula tunda bila chenga kuvuja huku ikidaiwa kaivujisha mwenyewe.
Video hiyo ambayo anaonekana akiwa na mdada ajulikanaye kama Honey Suleman ambaye inasemekana ni rafiki mkubwa wa mke wa Jack Pemba hadi wanaitana ndugu.
Kwenye video hiyo Jack kaficha uso wake huku akimwacha mdada aonekane.
Honey anadai ya kwamba video hiyo waliirekodi wakati wakiwa penzini na Jack Pemba alimtaka ampatie 5,000$ asiivujishe jambo ambalo Honey anasema hakuwa tayari kufanya hivyo akamwambia avujishe tu maana hayuko tayari kuwa blackmailed.
Aliongeza kuwa bado Jack Pemba anazo video nyingine mbili hivyo bora tu aziachie zote maana hatishiki.
Jack Pemba ambaye kwa sasa inadaiwa kafulia hali tia maji tia maji ana madeni mengi mpaka kuweka gari zake rehani imewashangaza wana Uganda kusikia ana nyemelea mpaka ela ndogo kiasi hicho wakati awali alikuwa anaosha gari zake kwa pome za bei ghali.
Kutokana na maadili ya jf video sitoiweka ila pichani ni Jack Pemba na Honey.
Mitandaoni watu wanamsifia Honey kwa jinsi alivyokuwa anajituma na mauno kama fifi moto wakati wakimponda kuwa kakauka hana maji kabisa.
Mama yake yu hai?Huyu tapeli nae kwa kupenda sifa ,amkumbuke na mama yake huko Ukonga anaishi kwa kubangaiza
Jamaa kawaliza wazungu,mwenzake kafungwa na siku hizi ana pesa chafu,lakini mama yake anaishi kwa kuungaunga ilihali yeye anatanua utadhani ndio kabalehe jana.Jack anawaweza wazungu kutokana na umahiri wake wa kutema lugha ya malikiaHuyo Jack Pemba bado anaishi kwa style iliyopita, rafiki zake wamebadili mfumo ili kuikabili hali halisi ya sasa. Wacha apambane na hali zake.
Njoo tutengeneze mmautam yetru[emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nicheki mautamu kwanza!
Njoo tutengeneze mmautam yetru [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nicheki mautamu kwanza!
Eheheee bana ehehee kumbe Junaithar ni Dada ake aseeeeee..Mbongo ana dada ake anaitwa Jennifer Pemba a.k.a Junaithar
HahahahahahaWatu wanajiamini unaanzaje kufanya matusi na mtu player kama Jack Pemba bila Condom?
Eeeh. Dadake sijui mdogo wake. Ana tako kama kabati. Mwenyewe namuangaliaga simmalizi ule mtakoEheheee bana ehehee kumbe Junaithar ni Dada ake aseeeeee..
Me yule Dada napenda alivo na tako na ile sura ake kila nikimuona nadisa ipo siku nitakuwa kiben10 chake......
Me ndio nishamtanami kufaaaa yani ipo siku nitavaa mabomu akibalasa sawa tu ila nitakuwa nishamwambia how I feel....Eeeh. Dadake sijui mdogo wake. Ana tako kama kabati. Mwenyewe namuangaliaga simmalizi ule mtako
Du mkuu yaani nimeona video kibao za Jack anaongea kiingereza kama unamsifia basi wewe utakua sio mzuri kwenye hiyo lughaJamaa kawaliza wazungu,mwenzake kafungwa na siku hizi ana pesa chafu,lakini mama yake anaishi kwa kuungaunga ilihali yeye anatanua utadhani ndio kabalehe jana.Jack anawaweza wazungu kutokana na umahiri wake wa kutema lugha ya malikia
Dada habari samahani, naomba unitumie PM Iyo clip hii shauku itaniua mimi jamaniNakutumiaje mkuu?
mbona video imekataa
Hata mi nimeshangaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Du mkuu yaani nimeona video kibao za Jack anaongea kiingereza kama unamsifia basi wewe utakua sio mzuri kwenye hiyo lugha