Lihove2017
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 423
- 560
I see it the same way, japo sitamuita Muro, smart uchwara. CDM waonyeshe ukomavu wao kwakuli handle hili the smart way...
Sidhani kama mkutano mkuu wa chadema ulikaa na kumjibu huyo mtu,Bali amejibiwa na utashi wa mtu mmoja mmoja kama ambavyo Mimi nakujibu.Mimi ninapojibu haina maana kwamba Mimi ni kiongozi wa chadema.Kuna jamaa ameshauri wampuuze , kazi ya kumjibu wamuachie Mange.
Kwa kadri CDM itakavyokuwa inamjibu na yeye bila shaka atakuwa anajibu na umaarufu wake "uchwara" utaanzia hapo kupaa!
Kwa Juliana Shonza mlisema hivihivi kuwa anajisumbua. Leo hii kapewa ubunge na tayari waziri. Nina uhakika Jerry Muro akiebdeleza kupiga domo atatopoa muda wowote uleAnajisumbua kashindwa kujijenga Yanga ATAFUTE kiki nyingine