Izi kibongo bongo ni how much

nimekumbuka mbali, nlivokuwa mafunzon kwa vitendo, nikakutana na washkaj 2,
mnapoanza field hamfahamiani ila baada ya kama wiki hivi tukaanza kuzoeana,, hadi mambo ya chai tukawa pamoja na stori za mbili3 za kimaisha tufanyi nini ili tutoboe mapema na kama unavojua ajiri ni mtiti, yule mmoja alikuwa ashaanza biashara ya nguo anaaguza china,, yule wa pili alituambia ana mpango wa kuacha chuo 😳,, kwa sababu ameshaagiza mtambo wa kutengeneza biskuti,, alitoa wazo dingi yake alishakubali akampa mtaji,, akafungua simu yake akaanza kutuonesha picha za hiyo mashine, nikahoji sh? akasema ni milioni 75, nikabaki mdomo wazi, 😆
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…