Iwapi Bodi ya Mishahara ya sekta binafsi

Iwapi Bodi ya Mishahara ya sekta binafsi

northener

Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
12
Reaction score
18
Sheria ya Taasisi za Kazi Na. 7, ya mwaka 2004 kama ilivyorekebishwa mwaka 2015, imeanzisha Bodi ya Mishahara ya sekta binafsi ambayo ina jukumu la kufanya utafiti kwa kuzingatia hali halisi ya gharama za maisha na masuala mengine ya kiuchumi na kupendekeza kiwango cha kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi,”

Naomba kuwauliza wanajamvi kuna kitu kama hiki kweli, kwani navyojua ktk sekta binafsi kila taasisi hujiamulia kima chake cha chini cha mishahara
 
Back
Top Bottom