Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
ndo mana wanaiogopa misiba?hawa sijui ni watu wa aina gani.watu wenyewe walikimbia na rambirambi za mafisango sasa unategemea wawe na utu hao?
Mkuu kwani simba nayo haijaribiwi?hahahaNgoja wamdai bln 1 ya kuwadhalilisha ndio atakapoisoma namba
Raisi wa club mwizi unategemea wachini yake watakuaje?Hili la rambirambi ya Mafisango hili,kuna siku mtu atashuka daraja nyiee,Simba pelekeni hata milion kumi tuuu.
inabidi waje kwa kweliNdo mhame muache kushabikia kikundii cha watuu mshabikie team za mpira[emoji23][emoji23][emoji23]
Kupitia blog ya salehe ally nimeona taarifa ya ivo kuwapa makavu live simba kuanzia uongozi hadi mashabiki huku akimsifia manji,hali hiyo imetokea baada ya manyika kufiwa na babu yake ambapo hakuna hata kiongozi wala mwanachama aliejitokeza kwenye msiba tofauti na manji ambae kwenye msiba wa dida alikwenda hadi kwenye ibada kanisani,ivo ameumizwa sana na kitendo hicho kilichojirudia kwani hata yeye alipofiwa hakuna kiongozi yeyote wa simba aliehudhuria,ivo amempongeza manji na wanayanga wote kwa kuoneshana upendo wa hali ya juu kwenye matatizo.
my take:simba acheni roho mbaya,msimpende kwa kua anasaidia timu tu na kumtelekeza kwenye matatizo.
umeelewa kilichoandikwa?Yanga bhana,hivi ule mpango wa kumkopesha timu mdosi umeishia wapi?..