Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,414 Aug 3, 2012 #1 uyu jamaa sijui yuko wapi maana tangu mimi nakua alikuwa ni mmoja ya watu mashuhuri nisiopenda kukosa kuwaona kwenye kideo
uyu jamaa sijui yuko wapi maana tangu mimi nakua alikuwa ni mmoja ya watu mashuhuri nisiopenda kukosa kuwaona kwenye kideo
B BLB JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 382 Reaction score 43 Aug 3, 2012 #2 mhaya mnyakyusa, ila kwel cjui atakua wp, afu alikua safi ktk maigizo.. Nahic aliona hailipi akaamua kufanya kaz tofaut
mhaya mnyakyusa, ila kwel cjui atakua wp, afu alikua safi ktk maigizo.. Nahic aliona hailipi akaamua kufanya kaz tofaut
S Sinag Man Member Joined Mar 15, 2010 Posts 77 Reaction score 7 Aug 3, 2012 #3 Atakuwa nje tungemuona kwenye msiba wa Kanumba.
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,859 Aug 3, 2012 #4 ndo nani, jina pls
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Aug 3, 2012 #5 MadameX said: ndo nani, jina pls Click to expand... anaitwa Richard Allen. a.k.a BISHANGA,
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Aug 3, 2012 #6 MtotoSix said: uyu jamaa sijui yuko wapi maana tangu mimi nakua alikuwa ni mmoja ya watu mashuhuri nisiopenda kukosa kuwaona kwenye kideo Click to expand... pita kule MMU na Chit-Chat utamkuta
MtotoSix said: uyu jamaa sijui yuko wapi maana tangu mimi nakua alikuwa ni mmoja ya watu mashuhuri nisiopenda kukosa kuwaona kwenye kideo Click to expand... pita kule MMU na Chit-Chat utamkuta
Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,706 Reaction score 6,941 Aug 3, 2012 #7 Yuko humuhumu jf,
Makanyaga JF-Expert Member Joined Sep 28, 2007 Posts 11,548 Reaction score 7,486 Aug 3, 2012 #8 MtotoSix said: uyu jamaa sijui yuko wapi maana tangu mimi nakua alikuwa ni mmoja ya watu mashuhuri nisiopenda kukosa kuwaona kwenye kideo Click to expand... Alikuwa anakwenda kwa jina la "BISHANGA BASHAIJA NTAMBULAMALOKO NTINTI NA NTALE". Mara ya mwisho niliwahi kumuona pale Africa Sana mwanzoni mwa mwaka 2006! Tangu pale sijawahi kumtia machoni tena
MtotoSix said: uyu jamaa sijui yuko wapi maana tangu mimi nakua alikuwa ni mmoja ya watu mashuhuri nisiopenda kukosa kuwaona kwenye kideo Click to expand... Alikuwa anakwenda kwa jina la "BISHANGA BASHAIJA NTAMBULAMALOKO NTINTI NA NTALE". Mara ya mwisho niliwahi kumuona pale Africa Sana mwanzoni mwa mwaka 2006! Tangu pale sijawahi kumtia machoni tena
Kabembe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2009 Posts 2,586 Reaction score 1,792 Aug 3, 2012 #9 He is just around,ameajiriwa kama si Tazama or somewhere else.
ITEGAMATWI JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 5,362 Reaction score 4,125 Aug 3, 2012 #10 Hivi yule Bishanga wa JF kumbe ni huyu kweli au mnatania tu wadau?
N Ndinani Platinum Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,812 Reaction score 4,817 Aug 3, 2012 #11 Baba V said: anaitwa Richard Allen. a.k.a BISHANGA, Click to expand... Richard Allen Mwandemele marehemu baba yake alikuwa mchezaji mpira wa timu ya Taifa ya Gossage enzi hizo na wakina Yungi Mwanansali!!!
Baba V said: anaitwa Richard Allen. a.k.a BISHANGA, Click to expand... Richard Allen Mwandemele marehemu baba yake alikuwa mchezaji mpira wa timu ya Taifa ya Gossage enzi hizo na wakina Yungi Mwanansali!!!
MOST WANTED JF-Expert Member Joined Aug 16, 2011 Posts 209 Reaction score 178 Aug 3, 2012 #12 he is my uncle, Raymond Allen Mwandemele, recently anaishi mwenge-victoria employed and he z nt an actor anymore married and he has a daughter.
he is my uncle, Raymond Allen Mwandemele, recently anaishi mwenge-victoria employed and he z nt an actor anymore married and he has a daughter.
sikafunje.N Member Joined Jul 10, 2012 Posts 86 Reaction score 15 Aug 3, 2012 #13 MOST WANTED said: he is my uncle, Raymond Allen Mwandemele, recently anaishi mwenge-victoria employed and he z nt an actor anymore married and he has a daughter. Click to expand... Mwambie arudi kwenye game bana tumemmiss ma fun wake
MOST WANTED said: he is my uncle, Raymond Allen Mwandemele, recently anaishi mwenge-victoria employed and he z nt an actor anymore married and he has a daughter. Click to expand... Mwambie arudi kwenye game bana tumemmiss ma fun wake
jamiif JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 2,413 Reaction score 995 Aug 3, 2012 #14 kafulia! MtotoSix said: uyu jamaa sijui yuko wapi maana tangu mimi nakua alikuwa ni mmoja ya watu mashuhuri nisiopenda kukosa kuwaona kwenye kideo Click to expand...
kafulia! MtotoSix said: uyu jamaa sijui yuko wapi maana tangu mimi nakua alikuwa ni mmoja ya watu mashuhuri nisiopenda kukosa kuwaona kwenye kideo Click to expand...
M maliyamungu JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 564 Reaction score 419 Aug 3, 2012 #15 bishanga rich rich walid natasha sumbi na bocha na chikwa cha mamba mtaalamu wa yote acha bana sio wajinga wa sasa wa paste na kucopy
bishanga rich rich walid natasha sumbi na bocha na chikwa cha mamba mtaalamu wa yote acha bana sio wajinga wa sasa wa paste na kucopy
S Short white Senior Member Joined Jan 6, 2011 Posts 124 Reaction score 32 Aug 4, 2012 #16 Huyu jamaa na kundi lake walikuwa safi sana kwenye luninga! Nakutana nae mara chache mtaani.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,283 Reaction score 108,299 Aug 29, 2013 #17 MOST WANTED said: he is my uncle, Raymond Allen Mwandemele, recently anaishi mwenge-victoria employed and he z nt an actor anymore married and he has a daughter. Click to expand... Then you must be my relative...kama ulichoandika hapo juu ni sawa.
MOST WANTED said: he is my uncle, Raymond Allen Mwandemele, recently anaishi mwenge-victoria employed and he z nt an actor anymore married and he has a daughter. Click to expand... Then you must be my relative...kama ulichoandika hapo juu ni sawa.
MOST WANTED JF-Expert Member Joined Aug 16, 2011 Posts 209 Reaction score 178 Aug 29, 2013 #18 ni pm mkuu