Mali za mfungwa hugawiwa kwa Watoto wote wa ndani na wa nje ya ndoa.Tena huyo wa mwanafunzi anatakiwa alipwe zaidi sababu baba Yake hakugharimia matunzo.Kuna utata umetokea hapa mtaani kwangu kuna jamaa inasadikika ameshafariki akiwa gerezani ambapo huyu jamaa alifugwa miaka 30 kwa kumtia mimba mwanzafunzi miaka mingi iliyopita....
Sasa inavyosemekana jamaa ameshafariki akiwa gerezani na yule binti aliyembebesha mimba tiyali alishajifungua na mtoto na mtoto ameshakuwa saivi ana miaka kama 15 yaani ameshakuwa mkubwa......
Sasa utata unakuja upande wa familia ya binti wanataka katika Mali za marehemu huyu kijana apewe fungu lake kama mtoto wa marehemu na tukirudi nyuma zaidi ikumbukwe ya kwamba familia hii hii ya binti ndio ilimfungulia mashataka mshikaji kesi ya mtoto wao kupewa mimba na huyu mshikaji hatimaye mshikaji alifugwaaa
Na ikumbukwe ya kwamba licha ya kujitetea mahakamani mimba sio yake jamaa alifugwa sasa twende mbele turudi nyuma twende kisheria
Haya sasa turudi katika hoja ya msingi je
Mtoto huyu anaruhusiwa kurithi kwa maana baba yupo gerezani na haijulikana kama yuu haii au mzimaa licha ya tetesi ameshafariki
Je mtoto huyu anaruhusiwa kurithi au kuhoji Mali za baba yakeeeee
Sasa shida inakuja familia yake ndo imemfunga sasa inakuwaje alipwee katika matunzo wakati kafugwaMali za mfungwa hugawiwa kwa Watoto wote wa ndani na wa nje ya ndoa.Tena huyo wa mwanafunzi anatakiwa alipwe zaidi sababu baba Yake hakugharimia matunzo.
Hakuna mahakama inajua yeye ndie baba wa mtoto .Mali lazima apewe sio hiariAkarith Mali za babu yake mzaa Mama
Hizo Mali alizonazo zilitakiwa zitumike kumtunza au angegawiwa kabisa wakati baba Yake anaenda jela.Kama Ni nyumba ya kupangisha nk alitakiwa kupewa mgao kila mweziSasa shida inakuja familia yake ndo imemfunga sasa inakuwaje alipwee katika matunzo wakati kafugwa
HahahaaaaMim asithubutu jela nikae alaf Mali zangu akodoe macho hakika atapigwa kuanzia mzaz wa huyo mjazwa mimba had yule anaetoa ushaur wa familia hiyo na hata jiran atakaejipendekeza ntavujisha dam. Vimbelembele vyao ndo yamewafika. Hakika nitawachakaza Sana.
Hizi sheria za mwafrika zinastaajabisha sana. Huyo baba atamhudumiaje mtoto wakati yupo gerezani hafanyi kazi? Hata ndugu zangu nawaambia huyo mtoto usimpe hata sindano ya kushonea nguo. Hizi sheria bora ziangaliwe upya, zifanyiwe marekebisho.Mali za mfungwa hugawiwa kwa Watoto wote wa ndani na wa nje ya ndoa.Tena huyo wa mwanafunzi anatakiwa alipwe zaidi sababu baba Yake hakugharimia matunzo.