Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Kuna utata umetokea hapa mtaani kwangu kuna jamaa inasadikika ameshafariki akiwa gerezani ambapo huyu jamaa alifugwa miaka 30 kwa kumtia mimba mwanzafunzi miaka mingi iliyopita....
Sasa inavyosemekana jamaa ameshafariki akiwa gerezani na yule binti aliyembebesha mimba tiyali alishajifungua na mtoto na mtoto ameshakuwa saivi ana miaka kama 15 yaani ameshakuwa mkubwa......
Sasa utata unakuja upande wa familia ya binti wanataka katika Mali za marehemu huyu kijana apewe fungu lake kama mtoto wa marehemu na tukirudi nyuma zaidi ikumbukwe ya kwamba familia hii hii ya binti ndio ilimfungulia mashataka mshikaji kesi ya mtoto wao kupewa mimba na huyu mshikaji hatimaye mshikaji alifugwaaa
Na ikumbukwe ya kwamba licha ya kujitetea mahakamani mimba sio yake jamaa alifugwa sasa twende mbele turudi nyuma twende kisheria
Haya sasa turudi katika hoja ya msingi je
Mtoto huyu anaruhusiwa kurithi kwa maana baba yupo gerezani na haijulikana kama yuu haii au mzimaa licha ya tetesi ameshafariki
Je mtoto huyu anaruhusiwa kurithi au kuhoji Mali za baba yakeeeee