festor lupembe mtemi
Member
- Aug 1, 2013
- 24
- 3
so majukumu yakimzidi mtu, anaoa
Sikujua
so majukumu yakimzidi mtu, anaoa
Sikujua
Jaribu kuwashirikisha viongozi wako wa dini ili wakupe mwangaza kidogo juu ya haya maamuzi yako usije ukaoa mwanamke ambae utamjutia ndani ya ndoa. KWA WAGANGA WA KIENYEJI USIENDE, WANAWEZA WAKAKUPA JINI MAHABA BADALA YA MKE. Kila la Heri Kaka.
Ramadhan si imeisha?
niko hapa nipm
katika maisha yangu yote sijawahi kupata mtoto wakike anae nipenda nakunidhamini huwa najiulizaga maswali siyapatiagi majibu au wangu wa kunipenda haja zariwa maana nikikumbuka hapo mwanzo nilisha wahi kuwa namchumba mpaka nikamtambulisha kwa wazaz lakin nivyokuja kumwambia tuoane jibu alilo nipa aliniambia kwamba nimeisha chelewa alafu akamarzia kwamba alikua ananichuna 2 lakini ninaempenda yupo daa nikasema sitokaa nikapenda tena maishani mwangu lakini majukumu yamezidi natafuta mchumba wa kuow
haya nakutext nownow wait
Mdogo wangu umeuliza swali la maana tuweke utani pembeni.
Hata siku moja usitegemee kutafutiwa mke , unaweza kuunganishiwa lakini mwisho wake muamuzi ni wewe na huyo mwenzako,
Jaribu kuwa mtanashati kiogo uwe unaoga kidogo manake unaonekana hujipendi ndio maana hupati mademu.
Halafu uwe unajikamua kiume hata kama umechacha lakini jaribu kujitutumua ili uonekane.
Anyway ushauri wangu ni kwamba ukiwa unachagua sana basi ujue hutakuja kuoa kwani kila binadamu hapa duniani ana kasoro zake, na bata ukimchunguza sana huwezi kumloa yakhe!
Ukiona mambo magumu tem,bea maeneo ya sinza usiku hasa pale ambience huwezi kukosa mzigo yaani hata kama una domo zito kama zege
Nilifikiri una akili ndogo kwenye siasa tu, kumbe hata kwenye maisha ya kawaida hamnazo kabisa. Au ulifikiri na huku kuna buku saba pia? Kama hauna ushauri wa maana soma kisha sepa, sijui utakuwa lini aghhrrr, tumekuchoka sasa.Mdogo wangu umeuliza swali la maana tuweke utani pembeni.
Hata siku moja usitegemee kutafutiwa mke , unaweza kuunganishiwa lakini mwisho wake muamuzi ni wewe na huyo mwenzako,
Jaribu kuwa mtanashati kiogo uwe unaoga kidogo manake unaonekana hujipendi ndio maana hupati mademu.
Halafu uwe unajikamua kiume hata kama umechacha lakini jaribu kujitutumua ili uonekane.
Anyway ushauri wangu ni kwamba ukiwa unachagua sana basi ujue hutakuja kuoa kwani kila binadamu hapa duniani ana kasoro zake, na bata ukimchunguza sana huwezi kumloa yakhe!
Ukiona mambo magumu tem,bea maeneo ya sinza usiku hasa pale ambience huwezi kukosa mzigo yaani hata kama una domo zito kama zege
Sintasahau katika maisha yangu.niliyoyaona jana pale Ambiance.aiseeMdogo wangu umeuliza swali la maana tuweke utani pembeni.