Azfah, hapo mi nahisi umeharibu!
If usipomwambia ukweli, hata akikurudia penzi lenu litapoteza nguzo muhimu sana ktk penzi bora! Nguzo yenyewe ni UAMINIFU! Its ok, wewe utamuamini zaid ya sana, but yeye atatumia tukio hili kama reference kuthibitisha wewe ni muongo ktk matukio mengine, pengine unachoongea is nothing but true!
UTAFANYAJE SASA?
(Nadhani hofu yako ww ni kumpoteza, na sio kumuambia ukweli!)
Stop calling him!
After 1 week, still he is silent! Prepare urself and follow him thereto (where he live) (stop calling him unless and until u face him!
Naamini unahoja nzuri za wewe kufanya ulivyofanya! Mkumbushe wanaume wa sasa (sio wote) wanavyogegeda na kuacha!
Mkumbushe pia kwamba unampenda sana thus why ukataka kuproof, coz intension yake ilikua ndogo!
Akikataa, mwambie Ok lkn huo ndio ukweli!
Naamini hata yeye anaweza kumtuma rafiki yake ajekumchukulia mawazo humu kwa GREAT THINKERS! Na ukija uzi huo si unaujibu mwenyewe tu! Ukiona watu wanatia gundu unawaPM wakusapoti!
Hahahahahahahahaaa....!
Ukweli siku zote humfanya mtu kuwa huru!