she did a crappy thing. some guys are sensitive about mimba, he probably started dreaming about babies etc
Lets assume he founds out the truth as his instincts tells him so and he leaves you(its just an assumption)...while you never even told the truth, Did you try hard enough to solve this?...You will never forgive yourself my dear,you will live with regrets for the rest of your life...Then you will have to live the fact that you have destroyed your relationship with your own two hands!Be honest with yourself my lovely sis!cdhani kama kutafuta mwingine iko rahisi ivyo?! kwenye mapenzi kuna kukoseana na kusameheana. i lied for nothing as i ddnt intend digging his pocket whatsoever, tena wakati namwambia alivonikazania kuniuliza maswali mingi nikamwambia "kama unadoubt on this preg, leave me alone...can raise a kid wthout u"..
thnx Kaunga
unajua most of times kwny r/shps watu hawakiri how deep they've fallen 4 their partners/lovers labda kwakuogopa kuumizwa or being let down, hiyo ndo iliyotokea kati yetu. Najua ananipenda much but he never admit it kutokana na his past love history, nami pia nampenda mno but again didn't show it that much...nilikuwa namchukuliga poa. I cant imagine moving on without him
I'm Azfah, going thru serious misunderstanding wth my boy (im not sure if he still mine lolest)
sometime this yr nlimwambia baby angu kwamba nimenasa while he was outta country for some b'ness, kiukweli i ddnt...ila tu nilitaka kugain ile attention yake coz since asafiri (na hata kabla hajasafiri) aliloose attention on me. basi alipokea suala hilo kwa furaha kubwa, akawa anapanga mambo kibao like meeting my parents, marriage process n living together, above all akaanza kunifeel as somebody very important in his life. Sasa mie nilishajua kwamba si mjamzito na sikudhani kama angelipokea kihivyo ilivyotokea coz mwanzoni nilihisi ananichukulia kama wa kuzugia/kiraka akipata wa kumfit achape lapa.
baada ya kujua siku c nyingi atarudi, nimemwambia mimba imetoka ameshtuka sana. sasa last week karudi akaniuliza nilitibiwa hospitali gani baada ya tukio nimemtajia, cjui kaenda kuchunguza na kukuta hakuna record ya hivyo...so now ananituhumu 100% kwamba nimemdanganya khs mimba na he is so much upset kwakweli napiga 4n yake hapokei, tho mie nimeendelea kukomaa kwamba nilichomwambia ni kweli na hadi navaa mkanda (after birth tummy belt) kumshawishinashindwa kuadmit kosa coz naamini there are things in life u cant confess nafanya hivi kuepuka kumuumiza kivyovyote.
Juzi nilifikiria kuachana nae but it was very hard yani hadi nishapoteza na kilo kadhaa...kiukweli ctaki kumpoteza huyu kaka, he means alot kwenye maisha yangu yani namfeel ile mbaya, najihisi mkamilifu na very commfortable nikiwa nae than any person under the sun.
naombeni ushauri what to do plz plz I'm dying
Juzi nilifikiria kuachana nae but it was very hard yani hadi nishapoteza na kilo kadhaa...kiukweli ctaki kumpoteza huyu kaka, he means alot kwenye maisha yangu yani namfeel ile mbaya, najihisi mkamilifu na very commfortable nikiwa nae than any person under the sun.
naombeni ushauri what to do plz plz I'm dying
Huu sio wakati mzuri kabisa wa kunasa mimba, inawezekana kabisa ushaanza kumtoka moyoni hivyo unaweza kunasa ukimwambia akahisi hata sio ya kwake, hapa unahitaji kuwa makini sana. Cha muhimu we relax angalia tu upepo unakwendaje huku ukijiandaa kwa chochote (kama kupigwa chini).
Ukome kabisa kudanganya danganya katika mahusiano. Halafu, haya mambo nenda kamalize na boyfriend wako.
Hahahaaaaaaaa! WHATEVER YOU NEVER EVER CONFESS!!!!!!!!!!!! Hata akiendelea kuchunguza, DIE FIGHTING!!!!!!!! Ukilogwa ukajikaanga na mafuta yako mwenyewe, HE WILL NEVER EVER TRUST YOU AGAIN!!!!!!!