she did a crappy thing. some guys are sensitive about mimba, he probably started dreaming about babies etcGive him time.
Ukikiri hatakuamini kamwe. Ukiweza nasa mimba ya ukwelii safari hii.
BTW anaonekana mtu wa mimood, unafikiri anakufaa maishani? Maana attention mpaka uitafute ndipo anapoutoa.
I'm Azfah, going thru serious misunderstanding wth my boy (im not sure if he still mine lolest)
sometime this yr nlimwambia baby angu kwamba nimenasa while he was outta country for some b'ness, kiukweli i ddnt...ila tu nilitaka kugain ile attention yake coz since asafiri (na hata kabla hajasafiri) aliloose attention on me. basi alipokea suala hilo kwa furaha kubwa, akawa anapanga mambo kibao like meeting my parents, marriage process n living together, above all akaanza kunifeel as somebody very important in his life. Sasa mie nilishajua kwamba si mjamzito na sikudhani kama angelipokea kihivyo ilivyotokea coz mwanzoni nilihisi ananichukulia kama wa kuzugia/kiraka akipata wa kumfit achape lapa.
baada ya kujua siku c nyingi atarudi, nimemwambia mimba imetoka ameshtuka sana. sasa last week karudi akaniuliza nilitibiwa hospitali gani baada ya tukio nimemtajia, cjui kaenda kuchunguza na kukuta hakuna record ya hivyo...so now ananituhumu 100% kwamba nimemdanganya khs mimba na he is so much upset kwakweli napiga 4n yake hapokei, tho mie nimeendelea kukomaa kwamba nilichomwambia ni kweli na hadi navaa mkanda (after birth tummy belt) kumshawishinashindwa kuadmit kosa coz naamini there are things in life u cant confess nafanya hivi kuepuka kumuumiza kivyovyote.
Juzi nilifikiria kuachana nae but it was very hard yani hadi nishapoteza na kilo kadhaa...kiukweli ctaki kumpoteza huyu kaka, he means alot kwenye maisha yangu yani namfeel ile mbaya, najihisi mkamilifu na very commfortable nikiwa nae than any person under the sun.
naombeni ushauri what to do plz plz I'm dying
I think you went the way off the boundary mpendwa...never mess with someones feelings...halafu hio code ulotumia imepitwa na wakati(old fashioned method)...kuna njia nyingine za kutest mapenzi and that was off the hook..THE TRUTH WILL SET YOU FREE....Tell him the truth if he loves he will understand and forgive you!Its better you tell him now than later..A relationship that is based on lies is a receipe for disaster...It will take a lot of time to build up his trust again!Ukichelewa utakosa mwana na maji ya moto!I'm Azfah, going thru serious misunderstanding wth my boy (im not sure if he still mine lolest)
sometime this yr nlimwambia baby angu kwamba nimenasa while he was outta country for some b'ness, kiukweli i ddnt...ila tu nilitaka kugain ile attention yake coz since asafiri (na hata kabla hajasafiri) aliloose attention on me. basi alipokea suala hilo kwa furaha kubwa, akawa anapanga mambo kibao like meeting my parents, marriage process n living together, above all akaanza kunifeel as somebody very important in his life. Sasa mie nilishajua kwamba si mjamzito na sikudhani kama angelipokea kihivyo ilivyotokea coz mwanzoni nilihisi ananichukulia kama wa kuzugia/kiraka akipata wa kumfit achape lapa.
baada ya kujua siku c nyingi atarudi, nimemwambia mimba imetoka ameshtuka sana. sasa last week karudi akaniuliza nilitibiwa hospitali gani baada ya tukio nimemtajia, cjui kaenda kuchunguza na kukuta hakuna record ya hivyo...so now ananituhumu 100% kwamba nimemdanganya khs mimba na he is so much upset kwakweli napiga 4n yake hapokei, tho mie nimeendelea kukomaa kwamba nilichomwambia ni kweli na hadi navaa mkanda (after birth tummy belt) kumshawishinashindwa kuadmit kosa coz naamini there are things in life u cant confess nafanya hivi kuepuka kumuumiza kivyovyote.
Juzi nilifikiria kuachana nae but it was very hard yani hadi nishapoteza na kilo kadhaa...kiukweli ctaki kumpoteza huyu kaka, he means alot kwenye maisha yangu yani namfeel ile mbaya, najihisi mkamilifu na very commfortable nikiwa nae than any person under the sun.
naombeni ushauri what to do plz plz I'm dying
Azzy, katika mapenzi uongo ni kitu kibaya sana. Na uongo ukifanikiwa au haukufanikiwa mtakeo ni ysle yale, yanaumiza.
Katika penzi, mwenza anapokuwa na kauli tata enzi linatokea dirishani, maana mapenzi ni kuaminiana na utata unatia ukakasi katika penzi.
Kwa hivi sasa huyo besti wako anajiuliza maswali mia kidogo.
Je ilikuwa mimba yangu kweli?
Je kwa nini uliitoa au ilitoka?
Je mbona rekodi hosp hakuna?
Je bibie ana jamaa mwingine?
Je bibie ananichukulia kama ----- mtozeni?
Je.......Je......Je?
Mimi iliwahi nitokea hilo tena live!
Bibie alinidanganya ana mimba na baada ya miezi minne sikuona kitu.
Nilipomshutumu kuwa mbona mimba haipo ikawa ugomvi mkubwa.
Wakati huo huo nilisha nunua kiwanja nimjengee nyumba kwa ajili yake na kichanga.
Baada ya kugundua uongo ilibidi nirudishe majeshi na kutambua kuwa pale hapakuwa na penzi bali ukimbizi wa kipato.
Ni vyema nilitambua mapema na ku call it quits maana nyumba ningekuwa nimewajengea mabwana wengine!
Ushauri wangu tafuta mwingine uanze upya, hapo umeshaingiza serious doubt.
Give him time.
Ukikiri hatakuamini kamwe. Ukiweza nasa mimba ya ukwelii safari hii.
BTW anaonekana mtu wa mimood, unafikiri anakufaa maishani? Maana attention mpaka uitafute ndipo anapoutoa.
Kurudisha penzi lililoingia luba kazi ngumu.cdhani kamaili akuamini.kutafuta mwingine iko rahisi ivyo?! kwenye mapenzi kuna kukoseana na kusameheana. i lied for nothing as i ddnt intend digging his pocket whatsoever, tena wakati namwambia alivonikazania kuniuliza maswali mingi nikamwambia "kama unadoubt on this preg, leave me alone...can raise a kid wthout u"..