Ndo manake we fikiria mtu na akili zako timamu ukachukue makombo ya mwingine ni akili gani hyo? kisa cha kuchukua mwanamke aliezaa na mwanaume mwingine kisha kuachika ni nini? Utakua na akili kweli ww? Kama hujaoa na huna mtoto inapendeza kuoa kigoli, kifaa kipya ambacho hakijatotoa bado....raha jipe mwenyewe babu...ule makombo ya wenzio umekuwa fisi? Khaaa!