lsh!..badala ya kurudi nyuma na kufikiria kuwa mliwawazia vbaya itvz ndio kwaaanza mnazidi kujidumbukiza ujingani. kile ni chombo cha hbr. kinatoa habari zilizopo.. bila upendeleo. mjinga ni yule aliyedhani kuwa itv inapendelea. yani badala ya kufuatilia homework za watoto wenu, mnakaa kubinya korodani ili hbr ya ukawa isitangazwe itv. ths is pfyuuu...