MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 254
Ni maoni yangu ITV kama mnaweza mweka live hapo yeyote Chadema na Mwigulu
Tafadhali tuna mengi ya ufahamu kutoka kwao tunahitaji jua.....
Kwa Mtangazaji yupi wa kuwahoji hayo maswali? Wote waliopo wamezoea kitchen paty
Unapoandaa mdahalo unaandaa na mtangazaji makini siyo aina hii iliyopo,labda kidogo wa aliyeendesha Mchakato majimboni
henche ni mburula?.mwigulu yule mbona mbulula sana?labda atafutiwe heche au kijana yeyote wa Bavicha
Kwa Mtangazaji yupi wa kuwahoji hayo maswali? Wote waliopo wamezoea kitchen paty
Unapoandaa mdahalo unaandaa na mtangazaji makini siyo aina hii iliyopo,labda kidogo wa aliyeendesha Mchakato majimboni
Adrian Stepp; Msamehe bure kama amekukwaza maana si kweli kwamba hamna watangazaji wote hawafai, lakini kuna yule Jamaa wa kipindi cha DK 45 uhojaji wake ni mdogo kwa maoni yangu binafsi.

Mwigulu tumeshamwandalia saizi yake, katibu wa jimbo la Ubungo, Makwiro. Kwa Mnyika atachemsha.