Kiukweli nimetizama itv jana na juz habari ya dr slaa na mnyika kutaka kuuliwa sijaiona na wala habari zozote zinazohusu chadema sasa hawa mafisadi wameingia mpaka huku ? tunaomba mzee mengi uliangalie hili haraka vinginevyo tutahamia mliman tv na hapa itv tutakuwa atuangalii tena