SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,270 Jul 8, 2014 #21 vamda said: ITV ndio televisheni yenye kiwango tatizo lake ina matangazo mengi ya biashara Click to expand... Hasa vyuo vya mtaani na kozi zao za ualimu wa chekechea, hotel management, tour guide and driving, aids counselling etc etc
vamda said: ITV ndio televisheni yenye kiwango tatizo lake ina matangazo mengi ya biashara Click to expand... Hasa vyuo vya mtaani na kozi zao za ualimu wa chekechea, hotel management, tour guide and driving, aids counselling etc etc
Wa Mjengoni JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 480 Reaction score 128 Jul 8, 2014 #22 Nasikitika naikosa kwa kutumia DSTV huku remote area! Hv mee mengi ataingia kweli mkataba na Multchoice wa Dstv? chan.10 washaingia..
Nasikitika naikosa kwa kutumia DSTV huku remote area! Hv mee mengi ataingia kweli mkataba na Multchoice wa Dstv? chan.10 washaingia..
SirChief JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 3,304 Reaction score 3,380 Jul 8, 2014 #23 LOMNYAKI said: Yani ITV bana ni kibokoo...na kwa sasa inapendwa na wajinga wengi kweli hasa wa UKAWA na wanaotoka mikoa ya Arusha na Moshi eti kisa ni ya mwana Ukawa mwenzao...Shutuuu...,ukabila,udini na ukanda utawamaliza nyie makawa-d Click to expand... Akili za ki-pimbi utazijua tu!!
LOMNYAKI said: Yani ITV bana ni kibokoo...na kwa sasa inapendwa na wajinga wengi kweli hasa wa UKAWA na wanaotoka mikoa ya Arusha na Moshi eti kisa ni ya mwana Ukawa mwenzao...Shutuuu...,ukabila,udini na ukanda utawamaliza nyie makawa-d Click to expand... Akili za ki-pimbi utazijua tu!!
Murano JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 2,056 Reaction score 1,128 Jul 8, 2014 #24 nguvu said: hivi unajua van ya tbc walipoitoa? Click to expand... kwani ndo tuseme VAN hainunuliwi?
Parabolic JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 2,756 Reaction score 2,645 Jul 8, 2014 #25 Du! Tunaotumia Zuku tunateseka sana na TBC