The Don
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,499
- 1,172
ikiwa ni muda sasa tangu kampeni zianze,chama cha mapinduzi(C.C.M) kimepata wakati mgumu sana baada ya kukutana na zomea zomea na sehemu nyingine kukutana na watu wachache tofauti na ilivotarajiwa mbali na kusomba watu,mwandishi Emmanuel Buhohela (ITV) amekua akitumika kuficha aibu hiyo kwa kuunga picha za mikutano,kuchomeka picha za mikutano iliyopita mfano picha ya tabora inatumika sana,pia kuficha zomea zomea anayokutana nayo magufuli mfano jana mbarali mbeya hiyo yote kwa maslahi binafsi na chama..
my take: siasa zisitutoe ktk maadili ya fani zetu,pia uongozi wa ITV lifanyieni kazi hili tatizo
my take: siasa zisitutoe ktk maadili ya fani zetu,pia uongozi wa ITV lifanyieni kazi hili tatizo