Kwa kasi ya mawazo ya namna hii siku si nyingi tutakuwa vipande vipande.
Ninatafakari kinachojiri afrika ya kati na ni nguvu ya namna gani itahitajika ili kuondoa ubaguzi ulopandwa. Mungu aliyepushe taifa hili alolijalia rasilimali za kutosha lakini ni maskini kweli kweli, kwa kuendekeza mawazo mgando