Alfred Daud Pigangoma
JF-Expert Member
- Mar 30, 2009
- 1,833
- 972
Hata CCM wameanza kuiga taratibu,
Wanajamvi.
Muda huu naangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku. Cha kufurahisha ni kuwa mtangazaji ametinga gwanda huku akitoa kipaumbele kwa habari za CHADEMA. M4C Pamoja Daima imeoneshwa kwa upande wa Msoma Dr. Slaa na upande wa Iringa Kamanda Mbowe na Mh. Mdee.
My take: hadi kufikia 2015 vazi la Taifa litakuwa vazi la khaki.
hata nyerere alilivaa
nape nimeona kalivaa ila la kijani
Nape yuko CCM kimaslahi lakini akili iko chadema au CCJ
baadae litakwa vazi la ukombozi
umeongapa mtangazaji hakuvaa khaki pamoja na kuwa naikubali chadema asimia zote.
Hiyo ni ishara ya ushindi wa chadema na kila mtu anavyotamani na kuyapenda magwanda ya chadema
umeongapa mtangazaji hakuvaa khaki pamoja na kuwa naikubali chadema asimia zote.
Hata CCM wameanza kuiga taratibu,